Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Nani ameangalia show mpya ya OJ Simpson ya 2025 on Netflix? imefocus zaidi kwenye upelelezi, uwasilishwaji wa ushahidi mahakamani na influence ya media mbali na mambo mengine.
Kuna somo kubwa la namna makosa ya polisi baada ya mauaji kutokea na court of public opinion na yanaweza kusababisha wale wenye hatia kushinda au asiye na hatia kushindwa.
Nimependa walivyobalance both recollections za polisi waliohusika na upelelezi na defence lawyers wa OJ. Documentary nzuri, I recommend uiangalie kama hujaiona.
Ambao mmeangalia, what’s your take?