Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Haa haa, mi najua unayo flatscreen gheto, unatutania tu hapaNaona huu uzi hautuhusu sie tulio zowea sinema za kuweka kitambaa cheupe mbele kabisa miakaile...🙄
Lakini naunga mkono hoja mkuu..😊
Kwa mara ya mwisho nimemiliki geto mwaka 2004Haa haa, mi najua unayo flatscreen gheto, unatutania tu hapa
Daah 20 years ago, basi sawa mzee wetu!Kwa mara ya mwisho nimemiliki geto mwaka 2004
True kabisa na mwishoni OJ ruined his life and ended up in jail kwa kesi ya kijinga instead of enjoying his freedom.Nimeiangalia last weekend. Very captivating.
OJ committed the murders and got away with it.
Cochran ni lawyer na nusu.
Snow bunnies keep being the biggest downfall for brothers.
sijaicheki bado ila mwaka jana niliangalia video ya documentary fupi YouTube
Na hilo geto kwa Sasa nali tumia Mimi🤣😂Kwa mara ya mwisho nimemiliki geto mwaka 2004
napenda sana docuseries,
Unawachapia mabinti ambao hutaki kuwaoa!Na hilo geto kwa Sasa nali tumia Mimi🤣😂
Icheki iko poa sana
Nicole Brown Simpson na basha wake Ron Goldman, walifanya dharau sana, O.J.akawamalizaNani ameangalia show mpya ya OJ Simpson ya 2025 on Netflix? imefocus zaidi kwenye upelelezi, uwasilishwaji wa ushahidi mahakamani na influence ya media mbali na mambo mengine.
Kuna somo kubwa la namna makosa ya polisi baada ya mauaji kutokea na court of public opinion na yanaweza kusababisha wale wenye hatia kushinda au asiye na hatia kushindwa.
Nimependa walivyobalance both recollections za polisi waliohusika na upelelezi na defence lawyers wa OJ. Documentary nzuri, I recommend uiangalie kama hujaiona.
Ambao mmeangalia, what’s your take?
View attachment 3239834
Mimi sio mzinzi mkuu, Nathamini utu na heshima ya mwanamke.Unawachapia mabinti ambao hutaki kuwaoa!
Hiyo genius 2017 ni movie ?
O.J alikua a typical narcistic man ambaye hakubali kuachwa na Nicole alikua a typical white woman with entitlement.Nicole Brown Simpson na basha wake Ron Goldman, walifanya dharau sana, O.J.akawamaliza
biographies za watu maarufuHiyo genius 2017 ni movie ?
Naomba nifuatilie hii chap
Inapendeza 👌Mimi sio mzinzi mkuu, Nathamini utu na heshima ya mwanamke.
na beside SI date mtu kisa sex, huo ni upotevu wa mda, afya yangu ya akili na mwili.