Show mpya ya OJ Simpson ni somo kubwa sana kuhusu makosa ya kizembe ya polisi na nguvu ya public perception

Huyu jamaa ni kweli serikali iliogopa jamhuri watafanya yao na kuleta hasara kubwa kama angefungwa?

Halafu kafa mwaka jana.
 
Naona huu uzi hautuhusu sie tulio zowea sinema za kuweka kitambaa cheupe mbele kabisa miakaile...[emoji849]
Lakini naunga mkono hoja mkuu..[emoji4]
Nimeona Instagram kwenu Ushirombo kuna kitambaa cheupe tawi la Tabata???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…