Bana ayman
New Member
- Mar 6, 2019
- 2
- 0
Nahitaj kununua gari Aina ya raum , nilikua naomba ushauri wenu kwamba showroom gan inauza magari kwa bei nzuri na hawashushi km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Toyota WiLL zinapatikana? Bei yake iko vipi hadi Dar naona kwa mwanamke kinamfaaKARIBU NIKUAGIZIE GARI HII AINA YA RAUM - NCZ SERIES
Bana ayman
YOM 2003
CC1490
COLOR RED
KM 90,000
BEI NI MILIONI 9.9 UNALIPA KWA AWAMU MBILI
AWAMU YA KWANZA UTALIPA 4,950,000 NA AWAMU YA PILI UTALIPA PIA 4,950,000
BEI HIO NI PAMOJA NA UKAGUZI JAPAN, KUTOLEA GARI BANDARINI, USHURU NA KODI, AGENT FEE PAMOJA NA USAJILI NA KIBAO CHA NAMBA
UKIWA TAYARI TUWASILIANE INBOX.
NA KWA YEYOTE MWENYE KUHITAJI GARI JAPAN NA KWINGINEKO NAMKARIBISHA NINA MASOKO ZAIDI YA 30 JAPAN
KARIBU SANA
View attachment 1039259
View attachment 1039263
View attachment 1039265
View attachment 1039266
View attachment 1039267
MAKE: TOYOTAMkuu Toyota WiLL zinapatikana? Bei yake iko vipi hadi Dar naona kwa mwanamke kinamfaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana naweza pata rangi hiiMAKE: TOYOTA
MODEL: WILL
YOM: 2002
COLOR: WHITE
CC:1490
KM:121,000
BEI NI MILIONI 9.3
UNALIPA KWA AWAMU MBILI
YA KWANZA UTALIPA MIL 4,650,000 NA AWAMU YA PILI UTALIPA MIL 4,650,000
BEI INAJUMUISHA
1:Usafiri kutoka Japan Mpaka Tanzania
2:Ukaguzi wa Gari Japan
3:Ushuru na Kodi
4:Gharama za Kutolea Gari Bandarini
5:Kibao cha Namba
6:USAJILI
7: KUSAFISHIWA TAA ZA GARI YAKO
KARIBU TUKUAGIZIE GARI HII. Ng'wanapagi
View attachment 1039285
View attachment 1039286
Inawezekana kama nilivyokueleza inbox mkuu
MAKE: TOYOTA
MODEL: WILL
YOM: 2002
COLOR: WHITE
CC:1490
KM:121,000
BEI NI MILIONI 9.3
UNALIPA KWA AWAMU MBILI
YA KWANZA UTALIPA MIL 4,650,000 NA AWAMU YA PILI UTALIPA MIL 4,650,000
BEI INAJUMUISHA
1:Usafiri kutoka Japan Mpaka Tanzania
2:Ukaguzi wa Gari Japan
3:Ushuru na Kodi
4:Gharama za Kutolea Gari Bandarini
5:Kibao cha Namba
6:USAJILI
7: KUSAFISHIWA TAA ZA GARI YAKO
KARIBU TUKUAGIZIE GARI HII. Ng'wanapagi
View attachment 1039285
View attachment 1039286
Mkuu nimekutext inboboInawezekana kama nilivyokueleza inbox mkuu
Pole na majukumu mkuu....Inawezekana kama nilivyokueleza inbox mkuu
Mkuu hizi Gari ni Kweli zinaonekana Katika Misafara ya Viongozi na Zikimilikiwa na POLISI na Kuhusu Mtu Binafsi sina uhakika Japo niliona Mmoja ikiwa na Namba za Mtu Binafsi na Hivi karibuni nilipata nafasi ya kuzungumza na jamaa yangu mmoja na kunielezea kuhusu hizi gari maana ana taarifa za ziada tu Aliniambia Ni Gari Nzuri sana Ila Changamoto zake ni SPEA ni Gari za Kichina na Ikisumbua Wachina Wenyewe ndio wanazikarabati na kwasasa Spea zake Kwa huku Kwetu ni Ishu.Pole na majukumu mkuu....
Nilikuwa naulizia gari kampuni ya FOTON body type SUV., huku nawaona nayo wakuu wa vitengo tuu na katika misafara ya viongozi, na katika zunguka zunguka yangu sijawahi iona ya private.
Vipi inaweza kupatikana? Maana nimevutiwa nayo na wahusikaaa wanasema kiwese sio Kama NISSAN au Land cruiser
View attachment 1039674
Daah gari ina sura mbaya sana ile.Mkuu Toyota WiLL zinapatikana? Bei yake iko vipi hadi Dar naona kwa mwanamke kinamfaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Spare my ribs 😂 😂 😂
Sawa mkuu..... Zifuatilie kwa ukaribu na makini.Yes Ni kweli Kwenye Masoko ya online ni ngumu kuzipata kwasababu hizi Gari ni Zao la Kichina na Changamoto zake ni SPEA Kwasasa lakini Kwa Kadri siku zinavyozidi Kwenda inaonekana spea zitaanza kupatikana ila tu Ufundi wake sina hakika kama Mafundi wetu wanaweza kuzikarabati labda wachina Wenyewe Lakini Naendelea Kuzifuatilia na kutaka kuzifahamu kwa undani zaidi na Kuhusu kupatikana Upatikanaji wake unaweza kuwa mgumu mpaka kufahamu masoko ya China Moja kwa Moja