Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

Nahitaji kununua gari aina ya Raum. Naomba ushauri wenu kwamba showroom gani inauza magari kwa bei nzuri na hawashushi kilomita?
Ukiajiza Toyota Raum kutoka Japan mpka kufika hapa Bandari inakua kama 6.5 hadi 7million. Hapo tayar ushuru
 
Sawa mkuu..... Zifuatilie kwa ukaribu na makini.
Ikiwezekana na uzuri na ubaya wake piaaa.
Ila moja Zuri Ni kwenye kiwese, alhamdullillah mchina aiseee hahhahhahahhaaaaaaa
Zinakula kiasi gani wese?
 
KARIBU NIKUAGIZIE GARI HII AINA YA RAUM - NCZ SERIES
Bana ayman

YOM 2003
CC1490
COLOR RED
KM 90,000

BEI NI MILIONI 9.9 UNALIPA KWA AWAMU MBILI
AWAMU YA KWANZA UTALIPA 4,950,000 NA AWAMU YA PILI UTALIPA PIA 4,950,000
BEI HIO NI PAMOJA NA UKAGUZI JAPAN, KUTOLEA GARI BANDARINI, USHURU NA KODI, AGENT FEE PAMOJA NA USAJILI NA KIBAO CHA NAMBA

UKIWA TAYARI TUWASILIANE INBOX.

NA KWA YEYOTE MWENYE KUHITAJI GARI JAPAN NA KWINGINEKO NAMKARIBISHA NINA MASOKO ZAIDI YA 30 JAPAN

KARIBU SANA
View attachment 1039259
View attachment 1039263
View attachment 1039265
View attachment 1039266
View attachment 1039267
Mkuu nahitaji Suzuki Escudo ya mwaka 2006 au 2007 kutoka Japan ambayo haina matatizo. Itafika kwa tsh ngapi? Jumla yote mpaka mkononi
 
Mkuu hizi Gari ni Kweli zinaonekana Katika Misafara ya Viongozi na Zikimilikiwa na POLISI na Kuhusu Mtu Binafsi sina uhakika Japo niliona Mmoja ikiwa na Namba za Mtu Binafsi na Hivi karibuni nilipata nafasi ya kuzungumza na jamaa yangu mmoja na kunielezea kuhusu hizi gari maana ana taarifa za ziada tu Aliniambia Ni Gari Nzuri sana Ila Changamoto zake ni SPEA ni Gari za Kichina na Ikisumbua Wachina Wenyewe ndio wanazikarabati na kwasasa Spea zake Kwa huku Kwetu ni Ishu.
Bei yake ikoje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAKE: TOYOTA
MODEL: WILL
YOM: 2002
COLOR: WHITE
CC:1490
KM:121,000

BEI NI MILIONI 9.3
UNALIPA KWA AWAMU MBILI
YA KWANZA UTALIPA MIL 4,650,000 NA AWAMU YA PILI UTALIPA MIL 4,650,000

BEI INAJUMUISHA
1:Usafiri kutoka Japan Mpaka Tanzania
2:Ukaguzi wa Gari Japan
3:Ushuru na Kodi
4:Gharama za Kutolea Gari Bandarini
5:Kibao cha Namba
6:USAJILI
7: KUSAFISHIWA TAA ZA GARI YAKO

KARIBU TUKUAGIZIE GARI HII. Ng'wanapagi
View attachment 1039285
View attachment 1039286
COROLA G mkuu wanaziita corola police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nahitaji Suzuki Escudo ya mwaka 2006 au 2007 kutoka Japan ambayo haina matatizo. Itafika kwa tsh ngapi? Jumla yote mpaka mkononi
Mkuu Escudo ya Mwaka 2006 unaweza kupata Kwa Mil 26.9 na Mwaka 2007 unaweza kupata Kwa Mil 27.8 Bei hizo Zote unalipa kwa Awamu Mbili ya Kwanza Kwa ya Mwaka 2006 Utalipa Kiasi cha Sh 12,901,710 then baada ya mwezi mmoja utamalizia Mil 13,998,290 na Ya Mwaka 2007 pia unaweza kulipa kwa Awamu Mbili Pia

Karibu Nikuagizie Gari lako Pendwa
 
KARIBU NIKUAGIZIE GARI HII AINA YA RAUM - NCZ SERIES
Bana ayman

YOM 2003
CC1490
COLOR RED
KM 90,000

BEI NI MILIONI 9.9 UNALIPA KWA AWAMU MBILI
AWAMU YA KWANZA UTALIPA 4,950,000 NA AWAMU YA PILI UTALIPA PIA 4,950,000
BEI HIO NI PAMOJA NA UKAGUZI JAPAN, KUTOLEA GARI BANDARINI, USHURU NA KODI, AGENT FEE PAMOJA NA USAJILI NA KIBAO CHA NAMBA

UKIWA TAYARI TUWASILIANE INBOX.

NA KWA YEYOTE MWENYE KUHITAJI GARI JAPAN NA KWINGINEKO NAMKARIBISHA NINA MASOKO ZAIDI YA 30 JAPAN

KARIBU SANA
View attachment 1039259
View attachment 1039263
View attachment 1039265
View attachment 1039266
View attachment 1039267
Mkuu nipe gharama za gari hii kwa mtindo wa hapo juu. Toyota Hiace Wagon. (ndani kuna viti 9 + 1 cha kimoja cha dereva) , YOM 2001, Diesel 2980cc. Itachukua muda gari hadi unikabidhi hiyo gari? CIF 4500$ LJ BLOG
 
Mkuu kwema Kwanza kabla sijakupa details ningependa kufahamu specifically aina ya Hiace unayotaka Hapo inaonyesha ni 10 and Above ambayo ni Commuter ingekuwa vizuri ukanitumia link nikaiangalia then nikakupa mrejesho mzuri Asante
 
Back
Top Bottom