Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

Nahitaji kununua gari aina ya Raum. Naomba ushauri wenu kwamba showroom gani inauza magari kwa bei nzuri na hawashushi kilomita?
Ukiajiza Toyota Raum kutoka Japan mpka kufika hapa Bandari inakua kama 6.5 hadi 7million. Hapo tayar ushuru
 
Sawa mkuu..... Zifuatilie kwa ukaribu na makini.
Ikiwezekana na uzuri na ubaya wake piaaa.
Ila moja Zuri Ni kwenye kiwese, alhamdullillah mchina aiseee hahhahhahahhaaaaaaa
Zinakula kiasi gani wese?
 
Mkuu nahitaji Suzuki Escudo ya mwaka 2006 au 2007 kutoka Japan ambayo haina matatizo. Itafika kwa tsh ngapi? Jumla yote mpaka mkononi
 
Bei yake ikoje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
COROLA G mkuu wanaziita corola police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nahitaji Suzuki Escudo ya mwaka 2006 au 2007 kutoka Japan ambayo haina matatizo. Itafika kwa tsh ngapi? Jumla yote mpaka mkononi
Mkuu Escudo ya Mwaka 2006 unaweza kupata Kwa Mil 26.9 na Mwaka 2007 unaweza kupata Kwa Mil 27.8 Bei hizo Zote unalipa kwa Awamu Mbili ya Kwanza Kwa ya Mwaka 2006 Utalipa Kiasi cha Sh 12,901,710 then baada ya mwezi mmoja utamalizia Mil 13,998,290 na Ya Mwaka 2007 pia unaweza kulipa kwa Awamu Mbili Pia

Karibu Nikuagizie Gari lako Pendwa
 
Mkuu nipe gharama za gari hii kwa mtindo wa hapo juu. Toyota Hiace Wagon. (ndani kuna viti 9 + 1 cha kimoja cha dereva) , YOM 2001, Diesel 2980cc. Itachukua muda gari hadi unikabidhi hiyo gari? CIF 4500$ LJ BLOG
 
Mkuu kwema Kwanza kabla sijakupa details ningependa kufahamu specifically aina ya Hiace unayotaka Hapo inaonyesha ni 10 and Above ambayo ni Commuter ingekuwa vizuri ukanitumia link nikaiangalia then nikakupa mrejesho mzuri Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…