Uboboh
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 307
- 904
Baada ya pilika za siku, tunapoa baa tukichoma maini tuliyopewa bure, meza inawatu hawa
1.Mwenye baa
2.Wafanyakazi wake
3.Wateja
4.Wapumzikaji (Wapita njia)
Njoo tusemezane wenye akili
Je ni haki kula kwa mkono kushoto kitimoto?
Mbona kwenye guidelines hapo kakataza?
Hayo si maamuzi binafsi?
Je ukiiga uwajibishwe?
Jibu na hapana! Binadamu tunafanya makosa ila mbona mwenye baa hawa staff wako (bamedi) wanatunyanyasa kajamba mlevi yule unajibu mapigo unatupwa nje wewe yeye anabaki?
Namengi ila niishie hapa
Mods hapa sijavunja sheria, msije nipa double kick, kisa et savannah hazinileweshii, hii baa hii itatuuwa
Kwako Gily Depal na AlmightyGod na chawa wengine
Usipo elewa basi utumie mafuta na maji siku saba umalizie na keki, nimejaribu sana kulainisha
Nilichosahau ni kuwa huyo mmiliki wa baa yeye kama hayupo yupo bize na mahesabu wateja tunanyongwa and he don't care