laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
million uhasama!Laki si pesa..
Mziki upi wa laki moja, watanzania bwana. Diamond anapiga muziki gani wa hivyo! Sawa na yale malapulapu yaliyowekwa humu eti ni nguo za design watu wananunuaNIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
UmeuaMusic wa diamond hata 10,000 siingii.