Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Sio Kyela ninayoijua MimiHakuna lisilowezekana kwa Diamond Platinumz. Huyu dogo ni blessed jamani.. Nategemea kusikia milango imefungwa sababu ya ukumbi kujaa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Kyela ninayoijua MimiHakuna lisilowezekana kwa Diamond Platinumz. Huyu dogo ni blessed jamani.. Nategemea kusikia milango imefungwa sababu ya ukumbi kujaa sana.
Kumbe we ni Zari hongera,vipi Tiffah ajambo ???Wewe ni Zari the bosslady?
Hahahahaaaa na kweli huwezi ihesabu kama starehe, maana inaonekana anakutia uchunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuUsitoke mapovu mkuu, ya diamond sihesabii kama starehe.
He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.Hahahahaaaa na kweli huwezi ihesabu kama starehe, maana inaonekana anakutia uchunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.
R.I.P thinking capityR.I.P English
Huna pesaMusic wa diamond hata 10,000 siingii.
R.I.P thinking capity
Tatizo ni kwamba una hasira nae, lakini ndio hivyo tena usiyempenda yuleeeeeeeeeeeeeeee very far from uHe is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.
Hajawahi kunikosea ila sipendi aina ya music anayofanya, kuwa mbali nami kiuchumi si tatizo, na ndiyo maana ili kuwe na maendeleo lazima yawepo matabaka, harafu hatuwezi kuwa sawa katika kupenda, na ndiyo wanandugu wa damu mnaweza kuwa washabiki wa mchezo fulan eidha mpira , lakini mkashabikia timu tofauti, kwa hiyo hata ukionana na diamond mwambie SIPENDI STYLE YA MUSIC ANAYOFANYA.Tatizo ni kwamba una hasira nae, lakini ndio hivyo tena usiyempenda yuleeeeeeeeeeeeeeee very far from u
Upo sahihi kabisa, ilikuwa changamsha genge tu, its nature hakuna binadamu anaeweza kupendwa na kila mtu.Hajawahi kunikosea ila sipendi aina ya music anayofanya, kuwa mbali nami kiuchumi si tatizo, na ndiyo maana ili kuwe na maendeleo lazima yawepo matabaka, harafu hatuwezi kuwa sawa katika kupenda, na ndiyo wanandugu wa damu mnaweza kuwa washabiki wa mchezo fulan eidha mpira , lakini mkashabikia timu tofauti, kwa hiyo hata ukionana na diamond mwambie SIPENDI STYLE YA MUSIC ANAYOFANYA.
Ahahhahhahhahha .... 'He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.
kaa kmy sasa sio kumdhihaki kwa kukidharau anachokifanya wakati kinamfanya aitunze familia yake huna lolote kwnz unafki, uteam na roho mbaya ndo zinazokusumbuaHajawahi kunikosea ila sipendi aina ya music anayofanya, kuwa mbali nami kiuchumi si tatizo, na ndiyo maana ili kuwe na maendeleo lazima yawepo matabaka, harafu hatuwezi kuwa sawa katika kupenda, na ndiyo wanandugu wa damu mnaweza kuwa washabiki wa mchezo fulan eidha mpira , lakini mkashabikia timu tofauti, kwa hiyo hata ukionana na diamond mwambie SIPENDI STYLE YA MUSIC ANAYOFANYA.
Kuandika hatupigi kelele ni kimyakimya mkuukaa kmy sasa sio kumdhihaki kwa kukidharau anachokifanya wakati kinamfanya aitunze familia yake huna lolote kwnz unafki, uteam na roho mbaya ndo zinazokusumbua
Hapo juu umeongea vizuri,lakini maneno yako ya hapa chini yanapingana na ulichokisema hapo juu.Hajawahi kunikosea ila sipendi aina ya music anayofanya, kuwa mbali nami kiuchumi si tatizo, na ndiyo maana ili kuwe na maendeleo lazima yawepo matabaka, harafu hatuwezi kuwa sawa katika kupenda, na ndiyo wanandugu wa damu mnaweza kuwa washabiki wa mchezo fulan eidha mpira , lakini mkashabikia timu tofauti, kwa hiyo hata ukionana na diamond mwambie SIPENDI STYLE YA MUSIC ANAYOFANYA.
He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.
Ndo umeandika lugha gan hii [emoji3] [emoji3] [emoji3]He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.