Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

Hakuna lisilowezekana kwa Diamond Platinumz. Huyu dogo ni blessed jamani.. Nategemea kusikia milango imefungwa sababu ya ukumbi kujaa sana.
Sio Kyela ninayoijua Mimi
 
Hilo tangazo ni 'artificial' na naamini watakaolipa hicho kiingilio ni 'artificial' kama tangazo lenyewe!
 
Usitoke mapovu mkuu, ya diamond sihesabii kama starehe.
Hahahahaaaa na kweli huwezi ihesabu kama starehe, maana inaonekana anakutia uchunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hahahahaaaa na kweli huwezi ihesabu kama starehe, maana inaonekana anakutia uchunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.
 
English imekuja na Meli by the way tusilalamike hiyo ndo kaz ya Management ebooo
 
Tatizo ni kwamba una hasira nae, lakini ndio hivyo tena usiyempenda yuleeeeeeeeeeeeeeee very far from u
Hajawahi kunikosea ila sipendi aina ya music anayofanya, kuwa mbali nami kiuchumi si tatizo, na ndiyo maana ili kuwe na maendeleo lazima yawepo matabaka, harafu hatuwezi kuwa sawa katika kupenda, na ndiyo wanandugu wa damu mnaweza kuwa washabiki wa mchezo fulan eidha mpira , lakini mkashabikia timu tofauti, kwa hiyo hata ukionana na diamond mwambie SIPENDI STYLE YA MUSIC ANAYOFANYA.
 
Upo sahihi kabisa, ilikuwa changamsha genge tu, its nature hakuna binadamu anaeweza kupendwa na kila mtu.
 
kaa kmy sasa sio kumdhihaki kwa kukidharau anachokifanya wakati kinamfanya aitunze familia yake huna lolote kwnz unafki, uteam na roho mbaya ndo zinazokusumbua
 
kaa kmy sasa sio kumdhihaki kwa kukidharau anachokifanya wakati kinamfanya aitunze familia yake huna lolote kwnz unafki, uteam na roho mbaya ndo zinazokusumbua
Kuandika hatupigi kelele ni kimyakimya mkuu
 
Hapo juu umeongea vizuri,lakini maneno yako ya hapa chini yanapingana na ulichokisema hapo juu.
He is not my roll model, and will not happen to be funs of such f**ck music.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…