Show yako ya kahama was lit ile ndio definition ya msanii wa kimataifa tume enjoy mpaka watu wakataka usiondoke jukwaani ubunifu ulikuwa wa Hali ya juu, sound ilikuwa nzuri, jukwaa lilikuwa lime setiwa vizuri na pia performance yako ilikuwa babkubwa.