Show ya Diamond mjini Kahama

Show ya Diamond mjini Kahama

Sada alimlilia dai aondoke nae
Chief vp kuhusu yule dem alimpandisha pale akacheza nae mpaka kwenye bed, aliandaliwa au ilitokea tu? Na kuna info zozote unazojua kumhusu Sada diamond.
 
Mkuu unabisha nini wakati wimbo wa alikiba ulikwepo na video zipo
Naona kiswahili ujui kunatofauti Kati ya kuiimba nyimbo ya mtu na kuucheza wimbo wa mtu.kuiimba ndio una uperform niambie lini umemuona
Mkuu unabisha nini wakati wimbo wa alikiba ulikwepo na video zipo
 
Subiria kingkiba nae atafanya yake ufipani
 
Back
Top Bottom