Show ya diamond na neyo UK ilikuwa kiki tu aka hewa

Show ya diamond na neyo UK ilikuwa kiki tu aka hewa

Sina hakika kama Diamond bado atakuwepo au vipi lakini ile show haikuwa kiki! Umeona kimya kwa sababu imesogezwa mbele hadi September!!!
Bora umweleze tu maana kuna mijitu inawivu wa Maendeleo
 
mfamaji haishi kutapa tapa.

jamaa mwisho wake umefika vibaya mno.
 
Back
Top Bottom