Show ya Diamond Platnumz yahairishwa

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Alichokisema Diamond mwenyewe kipo hapa. Si mbaya ukikisoma kama Hutojali
http://teflon-tanzania.blogspot.com/2014/05/show-ya-diamond-platnumz-huko-new-york.html?m=1




 

Attachments

  • 1401379750406.jpg
    82.5 KB · Views: 304
Hizi ni habari zilizoenea na zimethibitishwa na mmoja wa ma Promoter leo hii kwamba msanii Diamond Platnumz amegoma kwenda kufanya show yake kesho nchini UK katika mji wa NORTHAMPTON. Kisa waandaaji awajamkatia ticket ya ndege daraja la first class.

Kwa hiyo show imekuwa cancelled, watu wengi wako disappointed na baadhi ya watu waliokata ticket wameshaanza kurudishiwa pesa zao. Pole sana Dj Rule ambaye wewe uwa umekuwa ukimleta mara zote alizokuja kutumbuiza huku hata week zilizopita ulimleta.

Labda dogo ameshakuwa internation Super Star na Tuzo zake za Kili 7, akipata ya BET naona ataomba Private Jet.
 
kwanini asi upgrade then aende? ishu ya muhimu ni kutodiscourage mashabiki
 
Ni haki yake kama ipo ndani ya mkataba bt the impact is ruining your reputation+extremely loss of fans!
 
Sometimes naona it's cool.......kama kwasasa Domo asipokatiwa ticket first class means hakuna msanii anayestahili Bongo.........Acha aupe muziki thamani......namuunga mkono kwa hili ingawa mimi ni mtu wa old skool na weekend nashinda Isumba lounge na Wakongwe DJ JD na bingwa wa kupiga yenu DJ FAST EDDY.....
 
Akumbuke hao hao wamemleta tangia enzi hizo anatola na hata hii viza ya miezi sita pamoja na wapambe wake wamemtolea wao pia....! Na ndio walimleta week mbili zilizopita akaondoka kwa miadi ya kuja tena kumaliza show zilizobaki....
 

Huyo mtu huwa anachoka kufanya shows back to back. Kukatiwa 1st class ni ili aweze kulala na kupumzika awe na nguvu ili show iwe nzuri. Kulikoni a-perfom below standard ni bora asitie mguu kabisa.

 
diamond huyuhuyu aliekua ananuka ukurutu tandale leo hataki ndege duuuuh lahaaaula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…