Show ya Diamond Platnumz yahairishwa

Show ya Diamond Platnumz yahairishwa

Unadhulumiwa kupanda ndege ya bure wee ni ---- nini au unagongwa na domokaya

Matatizo ya kutojitambua,eti ndege ya bure wakati mtu anaenda kutoa jasho lake jukwaani! Nani alikwambia kuna bure ughaibuni? Nivema ungeacha wivu wa kike,unahamaki nini sasa!!
 
kukosea? uingereza na marekani wapi na wapi? halafu ndio mnapost kabisa kwenye viblog vyenu uchwara.

ASANTE kwa kujua hilo. Ila Taarifa ipo hapo Juu imesharekebishwa........
 
Back
Top Bottom