mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Unadhulumiwa kupanda ndege ya bure wee ni ---- nini au unagongwa na domokaya
Matatizo ya kutojitambua,eti ndege ya bure wakati mtu anaenda kutoa jasho lake jukwaani! Nani alikwambia kuna bure ughaibuni? Nivema ungeacha wivu wa kike,unahamaki nini sasa!!