Show ya jana ya Alikiba mapengo kibao.

Show ya jana ya Alikiba mapengo kibao.

kibo123

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
7
Reaction score
5
download.jpeg
download (1).jpeg
download (2).jpeg
download (3).jpeg
download (4).jpeg
download (5).jpeg
 
Attachments

  • download (6).jpeg
    download (6).jpeg
    5.9 KB · Views: 31
  • download (4).jpeg
    download (4).jpeg
    5.5 KB · Views: 32
"The show that is currently underway at Lugogo Hockey Grounds and a number of local musicians like Voltage Music, Levixone have already hit stage but the turn is one of the worst in Uganda’s ‘Bivvulu’ history."

🚶🏽🚶🏽🚶🏽🚶🏽🚶🏽
 
Show kafanya nn huyu? Mbna kimya kimya
 
Anavuna alichopanda mwenzake mond kafanya show Uganda mwezi uliopita kajaza Sana na kiingilio Cha chini kilikuwa ni elfu 50 VIP ni mil 1.Ali kiba nampenda ila anachoniuzi kwake ni mvivu,ana dharau,kujisikia alafu pia hajui kujiongeza so why mziki wake hukui kwenda level za juu asipojiangalia vizuri atabaki kuwa wa hapa hapa bongo.
 
Na siku hizi sijui hata anaimba sijui vitu gani.

Naishiaga tu kusikia yoooo
 
Ali kiba knows less about music as a business....Damn! his music is dying of ignorance. Jeez!!
 
Hakika Alikiba anapswa kujisalimishwa kwa Mwaposya...

Hii hali itaendelea mpaka atakapo acha kibri na kuanza kufanya mziki kama biashara na kuacha kudharau mashabiki!

Hakika Alikiba katutia aibu watanzania na kwa mara ya kwanza nimejutia kuwa mtanzania..
Kwa wasanii wa tanzania hata angekuwa hajatoa wimbo miaka 20 kwakweli asingeliweza kupata mashabiki wachache hivyo yani bora angekwenda Kingwendu kufanya hiyo show na ule wimbo wimbo wake huyu “demu mapepe “ angepata watu wengi.

Aibu sana hii
 
Acha matusi Kakutia peke yako, sijui kakupiga vingapi
 
Mkuu ulikuwa unakimbizwa ama sa si utulie upige picha vizur.
 
Back
Top Bottom