Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
 
Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??

Kaka samsun...
Kwani Kiba alifanya show au aliwasindikiza Sauti Sol...
Jamaa alikua ni msindikizaji tu..!
Kiba bado hajawa na kiwango cha kuwa performer wa kimataifa..!!!
 
Kaka samsun...
Kwani Kiba alifanya show au aliwasindikiza Sauti Sol...
Jamaa alikua ni msindikizaji tu..!
Kiba bado hajawa na kiwango cha kuwa performer wa kimataifa..!!!
Unajua mkuu,mimi huwa naona burudani sana tena sana kuyajibu haya ,mtu mwenyewe amebahatika kufanya shoo moja nje ya Mombasa,ila hawa shabiki zake humu wana kelele sana.
 
Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??

Kifesi mbona kila unapo mtetea boss wako huwa unamhusisha kiba!

-Nyerere-
 
Timu hizi ndio zinazotuharibia music ni kwa nini msifanye shughuli zenu badala ya kuchongoa?
 
Back
Top Bottom