Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

Timu ungese hizi ndio zinazotuharibia music ni kwa nini msifanye shughuli zenu badala ya kuchongoa?
Buraza, shuguli zetu tunafanya na ndio maana tumeweza kumiliki computer/simu na kununulia bando ili kuingia humu,pia husisahau kuwa ukiona mtu yupo humu muda mwingi jua huyo kashiba,ila akiwa na njaa yeye mwenyewe ataondoka bila ya kuondolewa na mtu.
 
Sasa kwa nini mnawachonganisha wenzenu?
 
Sasa kwa nini mnawachonganisha wenzenu?
Mkuu hatuwachonganishi,ila SISI NDIO TUNAWAFANYA WAENDELEE KUWEPO,TUSIPOFANYA UJINGA HUU MUDA SI MREFU WATAFUTIKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI.
 
Mkuu hatuwachonganishi,ila SISI NDIO TUNAWAFANYA WAENDELEE KUWEPO,TUSIPOFANYA UJINGA HUU MUDA SI MREFU WATAFUTIKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI.
Du basi sawa mkuu kama ni kweli
 
Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
Kakusikia,muda si mrefu ataziweka.
 
Unajua mkuu,mimi huwa naona burudani sana tena sana kuyajibu haya MAFALA YA HUMU YANAYOJITOA UFAHAMU MAKUSUDI,kimtu chenyewe kimebahatika kufanya shoo moja nje ya Mombasa,ila hizi takataka zake humu zina kelele sana.
Sijawahi kuona tofauti kati yako na hao mashabiki wa huyo Kiba,. Wote mnaendeshwa kwa mihemko.
 
Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??

Kifesi Chawa wa Simba Karoli naona unatoa povu Na kulinywa mwenyew..,tuwekeen video Na sio Photoshop Za domoli...
 
8391008470e30ca698b7609b8be63055.jpg

Kifesi umemwona bosi wako
 
Walionyesha upendo kwa kweli hata baada ya mvua kunyesha na systems kuharibika, wananchi wa Malawi walikaa na kusubiri.

Diamond akaanza asubuhi ya 6am kitumbuiza.

Nimependa walichofanya, sitaki kufikiroa ingekuwa ni nchini hapa ingekuwaje.

Wasingesubiri lazima, bali kukaa na kudai pesa hahahaaaa.
 
Mkuu hatuwachonganishi,ila SISI NDIO TUNAWAFANYA WAENDELEE KUWEPO,TUSIPOFANYA UJINGA HUU MUDA SI MREFU WATAFUTIKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI.
Kiongozi sio kwamba watafutika,ila atafutika.
Kiba bila ya bifu na Platnumz hawezi kusimama mwenyewe yupo locally zaid,kiba namfananisha na ray kigosi!
 
Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??

Lazima tuwe wakweli haya mambo ya timu yanatupofusha. Kiba akishirikishwa na saut sol aliimba vizuri kuliko Daimond.
 
mi niliiona, aise wamalawi si watu wa mchezo mchezo kabisa
 
Back
Top Bottom