samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Buraza, shuguli zetu tunafanya na ndio maana tumeweza kumiliki computer/simu na kununulia bando ili kuingia humu,pia husisahau kuwa ukiona mtu yupo humu muda mwingi jua huyo kashiba,ila akiwa na njaa yeye mwenyewe ataondoka bila ya kuondolewa na mtu.Timu ungese hizi ndio zinazotuharibia music ni kwa nini msifanye shughuli zenu badala ya kuchongoa?