Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Unajua kwenye MTV alipanic baada ya kukosa tuzo ndo mana ila huwa anaimba vizurAtakuwa amehema na kutetemeka kama kwenye MTV Mama
Unataka kunambia kuwa domo alijiandaa kabisa kuchomoka mbele ya mnyama star boy wiz wizo yaaagaUnajua kwenye MTV alipanic baada ya kukosa tuzo ndo mana ila huwa anaimba vizur
Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??Atakuwa amehema na kutetemeka kama kwenye MTV Mama
Yap alikuwa anaamin atachukua tuzo.Unataka kunambia kuwa domo alijiandaa kabisa kuchomoka mbele ya mnyama star boy wiz wizo yaaaga
Kaka samsun...Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??
Ungemwona sasa na jiti lake utafikiri yeye ndo mwenye showKaka samsun...
Kwani Kiba alifanya show au aliwasindikiza Sauti Sol...
Jamaa alikua ni msindikizaji tu..!
Kiba bado hajawa na kiwango cha kuwa performer wa kimataifa..!!!
Ukipenda hata Chongo utaita Kengeza.!Ungemwona sasa na jiti lake utafikiri yeye ndo mwenye show
Ahahaaaaaah...Ungemwona sasa na jiti lake utafikiri yeye ndo mwenye show
Unajua mkuu,mimi huwa naona burudani sana tena sana kuyajibu haya ,mtu mwenyewe amebahatika kufanya shoo moja nje ya Mombasa,ila hawa shabiki zake humu wana kelele sana.Kaka samsun...
Kwani Kiba alifanya show au aliwasindikiza Sauti Sol...
Jamaa alikua ni msindikizaji tu..!
Kiba bado hajawa na kiwango cha kuwa performer wa kimataifa..!!!
Kifesi mbona kila unapo mtetea boss wako huwa unamhusisha kiba!Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??
Kwasababu yeye mwenyewe(Kiba) na MASHABIKI wake wanapenda kujifananisha/kujishindanisha na Platnumz,ingawa wameachwa mbali sana..!Kifesi mbona kila unapo mtetea boss wako huwa unamhusisha kiba!
-Nyerere-
Naujua mtazamo wa huyo niliyemjibu ni upi.Kifesi mbona kila unapo mtetea boss wako huwa unamhusisha kiba!
-Nyerere-
Muziki UPI unaharibiwa..!?Timu ungese hizi ndio zinazotuharibia music ni kwa nini msifanye shughuli zenu badala ya kuchongoa?