Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

kila nikijiuliza kwa kina kwanini huyu mtu analinganishwa na kasanii kadogo sana barani Africa nashindwa kupata jibu la uhakika...huyu jamaa mbali na kukubalika Tanzania,wanamkubali sna nchi za wenzetu pia. Kana nyotaaaa!
 
I just like his mentality,ukimtukana hajui kuimba live anajipanga akija sasa anakutukana kuwa anajua zaidi,napenda mtu anaetumia matusi anayotukanwa,au udhaifu wake kama ngazi yakumpeleka hatua nyingine.
 
Live band na umiliki wa band hata chidi benzi alikua nayo so hamna mapinduzi hapo
Wewe hebu kuwa na akili japo za muda tu, au HUJUI KUWA HATA BAISKELI NI USAFIRI, LAKINI HAUFANANI NA GARI.....??
Au hujui kuwa hata Khadija Koppa ni mwanamuziki,lakini hamfikii Janet Jackson .......????
 
Hivi diamond ana account hapa JF au hiyo account uliyopitia ni ya wapi????
 
Mmmh live band nahisi ni gharama sana je atamudu iyo gharama au unafanya ivo ili kukata kilimilimi cha wanaomponda kuwa hawez live band
Upo sahihi lakini hana cha kupoteza kwa sababu, mathalani ikiwa playback alikuwa anachaji $5000, si kwamba na Live Band atakuwa ana-charge $5000... hapana! From the beginning, anakuambia kabisa kwamba anapiga Live kwahiyo ukimtaka kwenye live performance hesabu gharama ni pamoja na kuisafirisha na kuigharamia band na vyombo vyao!
 
Wale wa MAYOTE wajiandae,mnyama anakuja na timu nzima ya WCB na live band.Sasa ni kuivuruga Afrika.

 
Wale wa MAYOTE wajiandae,mnyama anakuja na timu nzima ya WCB na live band.Sasa ni kuivuruga Afrika.

Hii tarehe alikuwa afanye show nairobi ata kwenye ratiba ilikuwa hivyo lakini hawa jamaa wa mayotte wakapandisha dau karibia mara mbili ya pesa atakayolipwa kenya ikabidi akubali
 
Hii tarehe alikuwa afanye show nairobi ata kwenye ratiba ilikuwa hivyo lakini hawa jamaa wa mayotte wakapandisha dau karibia mara mbili ya pesa atakayolipwa kenya ikabidi akubali
Halafu hii ya yeye kwenda huko MAYOTE nimeipenda sana kwani ni kujitafutia mashabiki wengi zaidi kuliko kila siku ni East Africa tu.
 
Unadhani ile ilikuwa playback?,
Live band somchezo aiseeee[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Akiiva vizuri atajuwa anapost clips za video usijali kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…