Show ya Wasafi festival yaahirishwa usiku huu Sumbawanga kisa kushuka kwa bonge la mvua

Show ya Wasafi festival yaahirishwa usiku huu Sumbawanga kisa kushuka kwa bonge la mvua

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Show ya kibabe ya wasafi festival iliyokuwa ikifanyika sumbawanga katika uwanja wa Nelson mandela imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha wakati show ikiendelea na kufanya isimamishwe kupisha mvua... Baada ya kuona hali bado ni tete ikabidi show iahirishwe na diamond platnumz akaahid show itaendelea jumapili hii kuanzia saa kumi jioni na itakuwa haina kiingilio... Hivo basi tutarajie show leo mchana...
#Mchezousiuchezeewewe
#kaaabisaaaa
#Hawaaminiwanachokiona
#Bichwalimekuwamwenge
#Shilingiimepinduka
😂😂😂😂😂
 
Show itakuwa bure? Huo ulinzi utakuwaje mkuu? Tutarajie maafa hapo. Ndugu yangu kama uko Sumbawanga usiende.
 
ni kipindi cha mvua now kule kote
Sumbawanga ni noma asee mvua haikutosha wakaamua na kumporomosha na kumvutia chin ya jukwaa kijana wetu.... hawa jamaa sio wa mchezomchezo
 
Back
Top Bottom