Show ya Wema kwenye EATV

Show ya Wema kwenye EATV

Nimefungulia tv Chanel ya East Africa Tv (EATV) nimekutana na Show ya mwanadada Wema Sepetu ila cha kuskitisha kuna nguo flani kavaa yaani inaacha wazi kabisa Chakula cha Watoto (M.a.t.i.t.i) hadi wameamua kuweka kivuli sehemu ya kifuani kuzuia Chakula cha watoto kisionekane
Sasa kwanini wasirushe kabisa tu hiki kipindi???

Wema is a professional cunt....just ignore it
 
Umaarufu uchwaraa hhahhhahahahhahhha

KASHAZOEA JAMANI..MUACHENI...
419439_284843428297179_1826297307_n.jpg
 
Lakini hapa si Marekani!

Ndio shida ya kipofu akiona mwezi basi kila utakalosema yeye atafananisha na mwezi tu.

Kwahiyo huko Marekani walikohalalisha bangi na sisi tuhalalishe? vipi na midume inayopigwa libolo na sisi huku turuhusu?

Nadhani huyu hana hata habari kama Uganda wamepiga marufuku vimini
 
Na wanaume wanaovaa hadi ------ yanaonekana basi wawekewe kivuli pia pale tigoni.
 
Hebu wabongo tujaribuni kuelewa kitu kimoja, ile ya Wema ni reality tv show. Kwa ajili hiyo tunachoonyehwa that is maisha ya Wema in real ndo mana hata alivovaa ilibidi ionekane but kwaajili ya maadili walizuia tu sehemu ambazo hazikutakiwa kuonekana. Kuanza kumzuia anavovaa eti kwa ajili ya kipindi haita kuwa reality tena na cha zaidi muda kipindi cha Wema kinaonyeshwa kulikua na channel nyingine nyingi za kuangalia kama kile kipindi hakikuwa kinakubariki.

Tatizo lingekuwepo iwapo EATV wangeonesha bila kuficha. Tujaribu kufungua macho yetu tafadhali.
 
yule wema ni muigizaji lkn kazi yake na umaarufu pia ...wenzetu wazungu reality shows zao hawajieki three two one action ...cameras zipo..hawana muda wakupaka Yale ma mikosi ya uso na kujiuliza kama nyonyo inaonekana kias gani....tatizo wabongo kuiga mno....
kwamba tulipaswa kutizama vpnd vyengine ni sawa na kukimbia tatizo tukikuta kule ivo twende api ???
 
I love Wema...lakini kuna vitu labda ujitoe ufahamu ndio unaweza kusupport......No sis......Hakuna urembo mzuri kama kujisitiri.....Ya Ulaya ni ya ulaya..Tupitwe na mengine jamani..Khaaa!
 
yule wema ni muigizaji lkn kazi yake na umaarufu pia ...wenzetu wazungu reality shows zao hawajieki three two one action ...cameras zipo..hawana muda wakupaka Yale ma mikosi ya uso na kujiuliza kama nyonyo inaonekana kias gani....tatizo wabongo kuiga mno....
kwamba tulipaswa kutizama vpnd vyengine ni sawa na kukimbia tatizo tukikuta kule ivo twende api ???

"Kuiga Mno"
Hapa ndipo penye tatitzo.
 
tatito la wema ni moja tu, anapenda sana sifa na kujionesha...halafu anataka aishi maisha ya utamaduni ya marekani wakati hapa ni tanzania.
 
Back
Top Bottom