Hapa unamaanisha nini!!!!!!!!!!!!
maana wasingerusha usingeweza kuyaona hayo matiti
Nimefungulia tv Chanel ya East Africa Tv (EATV) nimekutana na Show ya mwanadada Wema Sepetu ila cha kuskitisha kuna nguo flani kavaa yaani inaacha wazi kabisa Chakula cha Watoto (M.a.t.i.t.i) hadi wameamua kuweka kivuli sehemu ya kifuani kuzuia Chakula cha watoto kisionekane
Sasa kwanini wasirushe kabisa tu hiki kipindi???
Umaarufu uchwaraa hhahhhahahahhahhha
Lakini hapa si Marekani!
Lakini hapa si Marekani!
Tena uchafu mtupuuuuuuuu, jitu lisilo jiheshimu utalijua tuUmaarufu uchwaraa hhahhhahahahhahhha
Baada ya muda, unakuta ni mtarajiwa wa kaka yako yaani ndio shemeji/ wifiKASHAZOEA JAMANI..MUACHENI...
Baada ya muda, unakuta ni mtarajiwa wa kaka yako yaani ndio shemeji/ wifi
tatizo unakuta jamaa ndio kakolea yani anahonga hadi hela yake ya kula.Ni kudeal na kaka tu tumchune pesa za sembe na anazohongwa na mapedejeeeee!!!halafu ndoa hakuna
tatizo unakuta jamaa ndio kakolea yani anahonga hadi hela yake ya kula.
yule wema ni muigizaji lkn kazi yake na umaarufu pia ...wenzetu wazungu reality shows zao hawajieki three two one action ...cameras zipo..hawana muda wakupaka Yale ma mikosi ya uso na kujiuliza kama nyonyo inaonekana kias gani....tatizo wabongo kuiga mno....
kwamba tulipaswa kutizama vpnd vyengine ni sawa na kukimbia tatizo tukikuta kule ivo twende api ???