Show ya Wema kwenye EATV

Hizo nyimbo zinaonyweshwa kwenye tv gani? Kama si za Tanzania. Utamaduni wa kiafrica ni kuvaa nguo fup. Mababu zako walivaa magauni? Kama hampendi nguo fup amieni uganda

Mkuu nawe na hao wenzio msiotaka kukosolewa hamieni Marekani mvae hizo skirt fupi unazotaka, mkaoane wanaume kwa wanaume, mkaone na wanyama na mengine yote unayoona hapa Watanzania hawayataki...! America sio Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…