cataliya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 458
- 360
Umeniwahi!! Mm ningependejeza kifungiwe kabisa kwasababu ni aubu kwa eatv na hata jamii kwa ujumla maana lugha inayotumika si ya dunia hii, labda ni lugha ya huko jupiter!!!
Uwiii!!! Nimecheka mpaka bas!!!