Show your hand writing (Mwandiko)

Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../

Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../

Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?


Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../

Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../

Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../
 
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…