Mbona wewooππ nioe wapi mkuu daah nimecheka sanaa ππUwongoooo utakuwa umeoaaaa wewe π
Au wewe KATAA ndoaaaa?Mbona wewooππ nioe wapi mkuu daah nimecheka sanaa ππ
Unaandika kama unakimbizwa shehπ€£π€£Nahisi mimi ndo naongoza kwa mwandiko mbaya kwenye huu uziπ
View attachment 3250700
Pumbavu π€£
πΉπΉπΉπΉNahisi mimi ndo naongoza kwa mwandiko mbaya kwenye huu uziπ
View attachment 3250700
Bila shaka wshuni waliiba mhuri wa mwalimu mkuu!