Mumlii
Senior Member
- Mar 14, 2021
- 169
- 232
Nmeupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakujua kabisa
Nimeu like kule juu i guess hata vidole vilivyo tumika kuuanfika ni laini sana💓
Na hata Herufi ndogo pia ambazo ni k na t, hukuzistukia.Kwenye herufi kubwa Kuna gerufi zimepungua
Umenifananisha mkuu..Nakujua kabisa
Vidole vigumu kama mwandiko.Nimeu like kule juu i guess hata vidole vilivyo tumika kuuanfika ni laini sana[emoji176]
Sawa plumber.😂
Ni wewe kabisa 😂😂😂😂,vp kwema lakinLord of Jacob [emoji7][emoji120]View attachment 1856432
#Saint Anne
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../
Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../
Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?
Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../
Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../
Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../View attachment 1856636
Siyo mimi nina hakika.Ni wewe kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],vp kwema lakin