Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

Hii yangu ningepata alama ngapi?
20210720_162219.jpg
 
Haki ya Mungu! Mwandiko mtam sana. Nisalimie kwenye karatasi niburudike
Nitakusalimu kesho na kaujumbe kwenye karatasi[emoji4].

Kama hadi wewe umeupenda mwandiko wangu [emoji7],Mimi ni nani nisifurahi[emoji4]!?!?

BTW,nilikumiss wewe mtu,umepotea sana aisee.
 
Back
Top Bottom