Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #461
Niandikie kidogo hapa kimemo babyBabeš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niandikie kidogo hapa kimemo babyBabeš
Kusema ukweli bata amepita hapa šššKwa mwandiko wangu ulivyo wa bata sijafanya unafki wa aina yoyote, unafanana na huo hapo kwa mbali tena huo mzuri kidogoView attachment 3239031
duh, yaishe.Kalio kubwa lina hasara yake, kuliosha hadi ulisugue na dodoki.
una mwandiko mzuri sana šš
Naona dada yako kanipiga bloku kwenye no yangu ya Yas šduh, yaishe.
Lazima utakua bonge moja la pisi kali kalio
Kisa mwandiko?Lazima utakua bonge moja la pisi kali kalio
Mmmhš„²una mwandiko mzuri sana šš
JiheshimuLazima utakua bonge moja la pisi kali kalio
Uliandika na rula?
Kuna tatizo mkuu?Jiheshimu
šKuna yule dada mmoja hivi wa kariakoo ana mwandiko mbaya sanaMmmhš„²
Yes pisi fulani standard iv zinakuwaga na miandiko hiyo.Kisa mwandiko?
Kitambo sana bosi hivi upo?Kuna tatizo mkuu?
Dah! Tuseme InshaAllahYes pisi fulani standard iv zinakuwaga na miandiko hiyo.
AlhamdullilahDah! Tuseme InshaAllah
Nipo mkuu ubize tu za kigamboni ya italy?Kitambo sana bosi hivi upo?
Eti kigamboni ya Italy!𤣠Vincenzo Jr sijui alifikiria nini kutudanganya aiseeNipo mkuu ubize tu za kigamboni ya italy?