Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

Limwandiko la hovyo
IMG_20250217_121115.JPG
 
Mimi sijawah kujuaga nina mwandiko gani, maana shulen madaftar yngu yalikuwa na miandiko tofaut pia, inategemea Teacher atanikuta na mood gani, akinikuta nina njaa mwandiko utakaa kinjaanjaa, ila sipo vibaya sana
 
Back
Top Bottom