chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Sura tenaTuacheni ushabiki diamond anajua jamani, sema kinachompaisha alikiba ni sura na rangi basi, ila uchapakazi diamond anajua
Dada unatafuta huruma za watu wakusaidie,ndio maana unaweka picha sio za ile shoo ????Ali Kiba na Diamond wote walifanya show Mombasa Kenya, aliyemfunika mwenzake sijui alikuwa nani, wadau watuambie
Ya Ali Kiba ilikuwa hivi
Ya Diamond ilikuwa hivi
Mzee wa JF vs Instagram...Sura tena
Nipo nawaangalia wanaume wa darMzee wa JF vs Instagram...
Upooooo..?
Naona unapuyanga puyanga ndani ya celebrities forum..!
mwaka huu Diamond kaachia wimbo mmoja tu KIDOGO.ngumu kujaji lakini ya dai inanonekana ilichangamka sana.
sababu ananyimbo nyingi mpya au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba
wakati mwenzie anajivunia mmoja tu.
...... au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba....mwaka huu Diamond kaachia wimbo mmoja tu KIDOGO.
Ali Kiba ana Lupela na Aje sasa sijui umetumia kigezo gani kusema Naseeb ana nyimbo nyingi mpya kushinda mwenzie
aibambi kwako na demu wako huko gheto kwako ila akiimba kwenye show zake watu wanaruka kama hakijatokea kitu...... au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba....
lupela bado inabamba? angalia nyimbo za dai ambazo bado zinabamba...