Show za Diamond na Ali Kiba zilivyokuwa huko Mombasa

Show za Diamond na Ali Kiba zilivyokuwa huko Mombasa

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Ali Kiba na Diamond wote walifanya show Mombasa Kenya, aliyemfunika mwenzake sijui alikuwa nani, wadau watuambie

Ya Ali Kiba ilikuwa hivi

Ya Diamond ilikuwa hivi
 
Hivi hao madansa na huwa wanaigana namna ya kucheza?

Au ndo mtindo mpya wa uchezaji hapa mjini?
 
ngumu kujaji lakini ya dai inanonekana ilichangamka sana.

sababu ananyimbo nyingi mpya au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba

wakati mwenzie anajivunia mmoja tu.
 
Tuacheni ushabiki diamond anajua jamani, sema kinachompaisha alikiba ni sura na rangi basi, ila uchapakazi diamond anajua
 
Acheni kumlinganisha Diamond na vitu vya kijinga kama Ali Kiba.

kama wewe ni shabiki wa Ali Kiba nakushauri usiangalie hiyo Clip. ni aibu aibu aibu kubwaaa
 
Ali Kiba na Diamond wote walifanya show Mombasa Kenya, aliyemfunika mwenzake sijui alikuwa nani, wadau watuambie

Ya Ali Kiba ilikuwa hivi

Ya Diamond ilikuwa hivi

Dada unatafuta huruma za watu wakusaidie,ndio maana unaweka picha sio za ile shoo ????
 
ngumu kujaji lakini ya dai inanonekana ilichangamka sana.

sababu ananyimbo nyingi mpya au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba

wakati mwenzie anajivunia mmoja tu.
mwaka huu Diamond kaachia wimbo mmoja tu KIDOGO.
Ali Kiba ana Lupela na Aje sasa sijui umetumia kigezo gani kusema Naseeb ana nyimbo nyingi mpya kushinda mwenzie
 
mwaka huu Diamond kaachia wimbo mmoja tu KIDOGO.
Ali Kiba ana Lupela na Aje sasa sijui umetumia kigezo gani kusema Naseeb ana nyimbo nyingi mpya kushinda mwenzie
...... au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba....

lupela bado inabamba? angalia nyimbo za dai ambazo bado zinabamba...
 
...... au za hivi karibuni ambazo bado zina bamba....

lupela bado inabamba? angalia nyimbo za dai ambazo bado zinabamba...
aibambi kwako na demu wako huko gheto kwako ila akiimba kwenye show zake watu wanaruka kama hakijatokea kitu
 
Back
Top Bottom