haahahah demu ndio vitu gani?aibambi kwako na demu wako huko gheto kwako ila akiimba kwenye show zake watu wanaruka kama hakijatokea kitu
shukuru kiba kapewa kiki kwa mgongo wa dai coz watu walijazana wakijua wanaenda kwenye shoo ya dai mwenzie anapenda kitonga kadandia kadamnasi ya dai.aibambi kwako na demu wako huko gheto kwako ila akiimba kwenye show zake watu wanaruka kama hakijatokea kitu
Apasue anga amekuwa Ndege?!haahahah demu ndio vitu gani?
siishi gheto kijana
hata hivyo mzaramo yake mipasho sishangai endelea na mipasho huku dai akipasua anga....
Hivi unajua kwamba ile show haikuwa ya Dai?!na yeye alikuwa msanii mualikwa tu au unadhani show ilikuwa ni maalumu kwa kipenzi chako Dai na hakukuwa na shughuli nyingine yoyote pale uwanjani?!shukuru kiba kapewa kiki kwa mgongo wa dai coz watu walijazana wakijua wanaenda kwenye shoo ya dai mwenzie anapenda kitonga kadandia kadamnasi ya dai.
tchao.
Muda mwingine tumia kichwa kufikiria sio kuweka mitindo ya nywele...Mshauri kipenzi chako Diamond akafanye mziki wake Mars huko atakuwa peke yakeAlikiba ninheshauri aache muziki akaanze kuomba kazi tu tume ya ajira.....mziki amuachie dai
Kiba unapenda kitonga ndo asili yake kuteleza sasa yaliyomkuta MombasaHivi unajua kwamba ile show haikuwa ya Dai?!na yeye alikuwa msanii mualikwa tu au unadhani show ilikuwa ni maalumu kwa kipenzi chako Dai na hakukuwa na shughuli nyingine yoyote pale uwanjani?!
akili zenu na akili za Meneje wenu roporopo zote zinafanana...maana Meneja wetu aliulizwa maswali kama hayo badala ya kujibu akashusha povu ndoo mbiliKiba unapenda kitonga ndo asili yake kuteleza sasa yaliyomkuta Mombasa
Punguza munkar baabakili zenu na akili za Meneje wenu roporopo zote zinafanana...maana Meneja wetu aliulizwa maswali kama hayo badala ya kujibu akashusha povu ndoo mbili
Jifute povu kwanza maana naona team kkoo mmeguswa kwenye mtima basi mshajaa sumu.......mdogo mdogoMuda mwingine tumia kichwa kufikiria sio kuweka mitindo ya nywele...Mshauri kipenzi chako Diamond akafanye mziki wake Mars huko atakuwa peke yake
Jifute povu kwanza maana naona team kkoo mmeguswa kwenye mtima basi mshajaa sumu.......mdogo mdogo
Povu alishusha meneja wenu baada ya kufanyiwa sapraizi siku nzima alinuna na kushinda kwenye mitandao akilalama kuwa mmeonewa