Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Ndo wabongo tulivyo..ukisema ukweli unaonekana mchawi,ila there is something wrong kwa huyu jamaa,na inabidi awe makini..saivi hata nomination kubwa kubwa hasikiki tena..na nyimbo zake nyingi saivi ni matusi matusi tu ya kijinga
hahaha YAAANI ..ETI NDIZI Anaing'ata kama ngedere " .... upuuuzi mtupu ""..
 
Kwani hiyo show kafanya nani? Nakafanya kwenye venue gani?

Yaani kweli unachekesha.. unaniuliza nikujibu utasubiri miaka milioni
Tumia data yako ukayasome utajiju.. na ujue kutofautisha mengi katika hayo..
 
Yaani kweli unachekesha.. unaniuliza nikujibu utasubiri miaka milioni
Tumia data yako ukayasome utajiju.. na ujue kutofautisha mengi katika hayo..
Sitaki unijibu ila najua majibu unayajua.
 
Bora hata yy kafika state mchawi mkubwa ukute hats Kenya hujawahi fika...tangu mnaongea hajawahi shuka
 

Itakuwa Lucifer anataka kafara nyingine..
 
HAbari kama hii bila kapiocha haieleweki
 
hebu tuone nyimbo za Diamond za mwaka huu.

Kwangwaru Feautured by Harmonize.

African Beauty.....

Iyenna....

Baila...... ya juzi juzi hii..

kaangalie viewers Youtube hapo... kwangwaru ndio national anthem iachwe kabisa
 
Mkuu nashukuru yale maelekezo uliyonipa jana kuhusu computer yamenisaidia. Mungu akubariki sana
Poa but hata uzii wenyewe nishasahau. Na sikumbuki lilikuwa tatizo gani.

But asante kwa kukumbuka fadhila.
 
Maneno ya Mujini sasa hivi Mademu wote wanamtaka Mbape! Messi Ronaldo , Diamond Tupa kule
 
weka picha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…