Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Aiseeee kama sio wewe uliyesema zari hatatajwa humu leo umeitaja timu yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]zari ni maji.
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
 
Mbona hapo wonderland night club kulibamba tu na watu tulikuwa wengi sana tu??
 
Ndio shida ya kutembea na mapugi machafua nyota.

Yani diamond mpaka namuonea huruma siku hizi ni msanii wangu pendwa lakini amedorora. Pengo la zari linaonekana kabisa.
Kwa hiyo zari ndo anamtungia nyimbo. Alienda naye mwaka jana kufanya promo UK kwny show yake ya o2 indigo lakini mwisho wa siku show ili flop tu kama kawaida. Watu wako busy na mahusiano yake na familiya yake nao washakuwa wasani kila siku vijembe na atazidi kushuka siku baada ya siku.
 
Aiseeee kama sio wewe uliyesema zari hatatajwa humu leo umeitaja timu yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]zari ni maji.
Tofautisha kati ya zari, na kunukuu kitu amabcho team pornstar wanakifanya kwa shemeji yao kumwita the flopnumz yaani mm nimefanya kunukuu tu. Lakini povu linakutoka.
 
Video za hizo picha zako hii hapa chini....ukiwa na roho mbaya sana ujue wahuni wanaweza wakaja kukukaza,bwashee
The flopnumz [emoji23][emoji23][emoji23] kiukumbi kidogonkama hicho kimeshindwa kujaa. Si bora arudi tu bongo afanye show maisha club.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ona unavyotoka povu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzi mzima umekula makavu laivu daah hope ipo siku dai atasikia maombi yako ya kutaka kuwa mrembo wake mpya. Jamaa unamkubali sana tu
Tofautisha kati ya zari, na kunukuu kitu amabcho team pornstar wanakifanya kwa shemeji yao kumwita the flopnumz yaani mm nimefanya kunukuu tu. Lakini povu linakutoka.
 
The flopnumz [emoji23][emoji23][emoji23] kiukumbi kidogonkama hicho kimeshindwa kujaa. Si bora arudi tu bongo afanye show maisha club.
Umehamisha magoli umesema show zake hazijai, haya watu wamekuwekea video, mara unasema ukumbi mdogo, hueleweki kama sigara kali na kwa jinsi nimjuavyo Diamond baada ya kumaliza tour yake, show zake zote ataziweka YouTube ndio utaumbuka vizuri. Wewe kama mtu humpendi sema simpendi sio unazunguka kama sigara kali.
 
The flopnumz [emoji23][emoji23][emoji23] kiukumbi kidogonkama hicho kimeshindwa kujaa. Si bora arudi tu bongo afanye show maisha club.
hueleweki,umeguka kuwa mnafiki sasa,umewekewa ushahidi unajichekesha jichekesha kama mwali mwenye libido....
 
Ila ukweli uzungumzwe diamond wa Sasa sio yule miaka miwili mitatu iliyopita!

Sasa hivi Sijui hata tatizo nini!
 
Ila ukweli uzungumzwe diamond wa Sasa sio yule miaka miwili mitatu iliyopita!

Sasa hivi Sijui hata tatizo nini!
Alikuwa level za Davido miaka miwili nyuma!
K... hazijawahi kumwacha mtu salama, eti mwenyewe anasema kazi na dawa[emoji23]
Kabaki kuimba mitusi tu!
Na wabongo tulivyo wanafiki sasa, mpaka mtu anapotea hatushauri ila tunashabikia tu!
 
Back
Top Bottom