Show za kibabe

Mi na wewe nani ana u lazinessπŸ˜€πŸ€£.
πŸ‘‰Sipendi summary coz naamini Kuna detail una eza zimiss out.
πŸ‘‰ Point ndogo ndogo huwa na maana kubwa, that's why ni Bora uende kwenye source halisiπŸ€’
 
Tunajifunza kwa watu kupitia watu,kama sina uwezo wa kuangalia nijifunze kama wewe ? Si ndio maana nimeomba unipatie hata maneno mawili 3 kutoka kwake kupitia wewe.

Kijana,una uchoyo mkubwa
Hata mkeo unampatia pesa ya matumizi ya kutosha kweli wewe?
 
Ila safi sana,unamfuatilia mfanyabiashara mwenzako mkubwa sana.

Ndege wafananao huruka pamoja so nawe ni billionaire.πŸ˜…
 
Tunajifunza kwa watu kupitia watu,kama sina uwezo wa kuangalia nijifunze kama wewe ? Si ndio maana nimeomba unipatie hata maneno mawili 3 kutoka kwake kupitia wewe.

Kijana,una uchoyo mkubwa
Hata mkeo unampatia pesa ya matumizi ya kutosha kweli wewe?
Neno la kwanza si ni stop being lazyπŸ˜€πŸ˜‚.
πŸ‘‰Sa mbona una penda short cutπŸ˜‚πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…