Watu wa chuga hatujawahi kufeliSafiiiii
Nimeona na sign yetu ππ
Cheers π₯Watu wa chuga hatujawahi kufeli
Eh sasa ww em subiri kesho pakuche nianze kupiga picha maeneo πCheers π₯View attachment 2870698
Nani my wako ?Unateseka ukiwa wapi my wangu?
All right, soon nta kucheki.Vyovyote utakavyo.
Lina ezaa kumeza hilo ππ€
Huku uwepo usiwepo tumezoea vibatari vyetu.Hatuna makuu.What happens happens.mshamba_hachekwi walitangaza kwa mbwembwe kwamba Arusha nzima hamna umeme mpk jioni.
Cha ajabu huku chini wamerudisha saii.. ππ mama anaupiga mwingi
Tui kuna umeme huko Ngare?
Haha vipi? Mbona nipo mkuu..Leo umeenda wapi Depal? Unanitia wasiwasi.Wewe sio soft soft nilikuwa nakutania.
Nilipoona hiyo picha ikanishtua.Nikafikiri unataka ku prove a point.Nimekoma wewe sio soft soft tena.Nisamehe.Haha vipi? Mbona nipo mkuu..
Picha gani? Ile si picha tu ya crater? Ina prove vipi usoft?Nilipoona hiyo picha ikanishtua.Nikafikiri unataka ku prove a point.Nimekoma wewe sio soft soft tena.Nisamehe.