Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada type recipe za mwaka mpya 😀Soon tu wataharibu 😀😀
nyie sasa ndo mnaanza kuuletea mapepo. halaf yaje physicallySoon tu wataharibu 😀😀
Humo Kuna Serengeti lite
Kabisa… wanaachia mianya ya kuanza majadiliano ya ajabu.nyie sasa ndo mnaanza kuuletea mapepo. halaf yaje physically
Depo happy New year kipenzJasusi 😂
😀😀Ngoja nikapike pilaunyie sasa ndo mnaanza kuuletea mapepo. halaf yaje physically
Kilingeni hapa
DAh aisee nyama hatar sana
😂😂😂
Hongeraniliko amkia.. Fake P View attachment 2859104
Happy New Year kwako pia LoveDepo happy New year kipenz
Duh! Nifanyie mambo nimpate mrembo mmoja hivi wa kipare
Wakimbie kisa nn 🤣Hongera
Juzi nimenunua pens la mazoez siku nikivaa Hilo huko gym wote watakimbia 😂😂😂
Imeisha iyo.. Sema lingineDuh! Nifanyie mambo nimpate mrembo mmoja hivi wa kipare
😂😂😂Umeliona alafu nilikuwa na haraka kunamtu akanmbia chukua linakutosha kwenda kujaribu pepekale sio pepekale bas tu mambo 😂😂😂😂Wakimbie kisa nn 🤣
Ama unavaa zile tight nyepesi ndefu za mpira kisha unatupia na pensi