GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mpaka nimecheka🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka nimecheka🤣
Mch Mshana Jr, bado unatumia hiyo?
Siyo utani😃Jobless style
View attachment 2875776
Ma jobless sisi Kaka🤒Siyo utani😃
Uki kabwa usi lie lie, boya wee
Hahaha!Uki kabwa usi lie lie, boya wee
Safi, management skills ni muhimu mno.
Sawa mkuu[emoji1545]Mkuu, usiwe unatuwekea vitu kama hivi. Wengine hatujavizoea.
Aah wapi.. Nimeshaacha kitambo sanaMch Mshana Jr, bado unatumia hiyo?
Kama CEO mtarajiwa nasema hesabu za mwaka zitazingatiwa kabla ya yote. 😁😁Safi, management skills ni muhimu mno.
👉 uji funze na sales and marketing sasa, msiwe mna ishia kwenye vikao vya hesabu za Mwaka tu😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2876985
Special Thanks to my awesome producer Dr Lizzy, I will be forever indebted to you for the genius and generosity you poured into this song and my first album.
Hii ni cover ya nyimbo yangu mpya inaitwa kataa ndoa nikimshirikisha producer mkali Dr Lizzy.
Ndani humo Dr Lizzy ametisha sana na kiitikio.
Nyimbo imefanyika studio za Lizzy Music Nairobi KE.
Nyimbo inapatikana spotify, soundcloud, youtube kwa ufupi streaming platforms zote.
Thanks.
OYaaa una kulaga misumari au😃😂, ndo Mana nakuambiga Ume rithi I'd😂😃
Acha nidhamu ya uoga, jukwaa Lina Uhuru wa kujadiliana😃🤒.