Show za kibabe

Show za kibabe

1706014910890.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uoga😄😂, asubui tikiti moja, chapati za mafuta ya samli 5.
👉Mchana juisi ya maparachichi glass 5, maboga 2.

Jioni- uji wa ulezi chupa 2, ugali wa muhogo na kisamvu😂😄🏃🏃.
👉 Utakuwa super tank Dr Lizzy
Mpaka hapo niseme tu mission failed maana hapo mihogo na kisamvu tu ndo vitapita.🥴🥴
 
Back
Top Bottom