Showroom nzuri kwa Dar ni ipi??

Showroom nzuri kwa Dar ni ipi??

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Habarini wadau!!! Nadhani muko powa... okk... sasa nilikuwa nina mpango wa kununua kausafiri kwa ajili ya matumizi yangu ya hapa na pale na nikachagua toyota vitz old model...na sijapendelea kuagiza gari nje, sasa nataka kujua showroom gani ni nzuri nitapata gari ambalo halitakuwa na matatizo na bei zao ziwe nzuri... ... shukran.0
2000_Toyota_Vitz_Clavia_%288064445680%29.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom