- Thread starter
- #21
nasubiri pishi lisilo na mambo mengi sana ambalo ni ni rahisi kwetu sie wanaume..
Ahhhahahahah labda chipsi mayai lol....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasubiri pishi lisilo na mambo mengi sana ambalo ni ni rahisi kwetu sie wanaume..
Sasa hii naona ni uchokoziiiii!! hapo umemaliza "mattbakh" Ninaamini HILTON,SHERATON,INTER-CONTINENTAL HOTELs wanakutafuta !!Nimepika leo hii kitu nimewaamua tushare pamoja...... Ennie life is Short King'asti amu mimi49 Swts MadameX Chocs Heaven on Earth Angel Nylon Afro-Arabica.... bht
Sasa hii naona ni uchokoziiiii!! hapo umemaliza "mattbakh" Ninaamini HILTON,SHERATON,INTER-CONTINENTAL HOTELs wanakutafuta !!
Thomu ndo kitu gani?
Shukran manake wengine bado tuko kwenye ukapera kwa hiyo weekend ikifika hili darsa lako linatusaidia sana hapaGarlic....
Shukran manake wengine bado tuko kwenye ukapera kwa hiyo weekend ikifika hili darsa lako linatusaidia sana hapa
Nategemea mengi zaidiii
MashaAllah, we mwana unantoa udenda. Hapo upate na soy sauce kwa mbaaali, mnhhhhh, mate hayooo.
Garlic....
Wow yaani mie nameza mate tu hapa, inabidi nipike kesho
hivi shrimp ndio prawns??:A S-confused1: