1. Dating analysis ya linen naonesha ina umri wa wakati wa Yesu yaani around miaka 2000 iliyopita (hii ni moja ya new findings, ya zamani ilizingua kwa vile walichukua material ya repair, mind you hii nguo ilishaunguaga moto wakati fulani ikiwa chini ya himaya fulani juko Ulaya)
2. Imethibitishwa kuwa haikuchorwa, hakuna rangi au material artificial kutengeneza hiyo image, na pia picha ni negative ya true image yaani ukiweka kitu kichukue image yako kwa kugusisha, picha itakayojichora ni kinyume cha image yako, yaani ukiangalia juu copy yako itatoka imeangalia chini, ndivyo shroud of turin ilivyo, uchoraji hauwezi kutoa hiyo image.
2. Biological contents za linen yaani kitambaa zinaonesha origin ya huko Judea ikiwepo pollen za mimea ambayo ilipatikana huko ancient Israel tu.
4. Damu na components zake zimekuwa tested na kuonesha kuwa mtu aliyetokezea hiyo image alipitia mateso makali, products za high level of stress zimeonekana kwenye damu, ile stress ya kusweat damu ambayo huweza kutokea kwa binadamu in rare cases, mfano imekuwa documented kisayansi kwa watu walioteswa enzi za holocaust za Nazi nk. Pia kama ilivyo kwa findings za miujiza ya ekaristia, blood group ya huyo mtu ni AB, na kwa shroud of turin, walicheki hadi DNA wakaona ni ya mwanaume wa Kiyahudi. Fun fact ni kuwa hiyo damu huwa haivunjiki inabaki stable kama ni new sample always, by nature blood cells zina kawaida ya kuvunjika au tuseme zinaoza na kuwa impossible kuzipima tena baada ya muda fulani. Damu ya miaka 2000 ingeonekana kama ni udongo tu kwa sasa.
Kuna mengine mengi sana kuhusu Shroud of Turin. Tafuta source nzuri usome hii interesting fact ushangae. Kuna documentaries nzuri sana huko YouTube kama unajua kiingereza, likely utakutana na documentaries za atheist na wapinga Kristo , Pata kwanza genuine source kisha upitie hizo debunk theories kama unataka challenge, imani yako haiwezi kuwa shaken hata kidogo. Fun fact ni kuwa kupitia Shroud of Turin tumeweza kupata sura ya Yesu ile yenyewe yaani siyo mchoro, alikuwa na mwonekano wake wa kawaida kabisa na alifuga ndevu, height ya kawaida, na mwili wa mwanaume anayefanya kazi za mikono. Say findings zimeendana na kinachosemwa na biblia just perfectly.