Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

Hii stori ina uongo na ushetani mwingi ssna
Anayeamini hili hakika ni mtumwa wa Mpinga Kristo
 
Kwenye biblia hakuna verse yoyote yenye mahausiano kuonyesha walikuwa wazungu.

Yesu hakuwa mzungu hata ndugu zake waisrael hawakuwa wazungu. hichi ndicho kinawafanya wahangaike na hayo masanamu yao.
umeulizwa hiyo point yako ya mzungu umeipata wapi? maana hakuna sehemu wamesema alikua mzungu
 
wa
Kwahiyo walikuwa wazungu? kama walikuwa wazungu naomba andiko linaloonyesha walikuwa wazungu, ukipata hilo andiko kuna hela yako ya voucher hapa.
wapi wamuakwambia alikua mzungu maana umeng'ang'ania
 
"Wakati mmoja nliketi nikimsoma, Mtaalamu wangu Leornardo DaVinci halafu nikakutana na makala zinazomuelezea yeye kwa namna ya kumkosoa ya kwamba huenda aliupumbaza ulimwengu kwenye mambo mengi sana likiwemo hili, la Sanda aliyovikwa bwana Inayoonesha Sura yake. How? Karne ya 16 huyu bwana aliwezaje?

Lakini, sawa tunakubali Da Vinci alikuwa mwanadamu mwenye akili sana na Mbobezi wa Kuchora lakini vipimo kadhaa vinaonyesha athari za picha hiyo hazikuwa za kuchora bali ni picha halisi zinazoakisi ya kwamba kuna kiumbe kilivikwa nguo hizo na kama kweli Leornardo DaVinci alifanya ghilba basi alicheza mchezo ambao unabaki kuthibitisha kiumbe huyu alikuwa na akili isiyo kifan
i"

Mkuu,kwanza hongera kwa makala hii nzuri,ila hayo maelezo hapo juu sijayaelewa,Leonardo Da Vinci anahusika vipi na hio Sanda?
Ni kwa vipi aliuhadaa ulimwengu?Je alichora hio picha iliyopo kwenye Wanda au vipi?
 
s

hakuna asiyezikwa na sanda
Hivi mkuu unaelewa au umekaza tu shingo? hiyo sanda ndiyo inasadikika ndiyo Yesu alizikwa nayo na hiyo sanda inamuonyesha Yesu namna alivyo kuwa na ukitizama hizo picha wanazosema Yesu muonekano ni wa kizungu, Swali Yesu alikuwa ni mzungu ?
 
kwanini umesema huo muonekano ni wa kizungu na sio wakiarabu,kihindi,weupe wa kawaida,kiphilipino nk,kwanini akili yako imekupeleka moja kwa moja kwenye race moja ya kizungu tu
 
kwanini umesema huo muonekano ni wa kizungu na sio wakiarabu,kihindi,weupe wa kawaida,kiphilipino nk,kwanini akili yako imekupeleka moja kwa moja kwenye race moja ya kizungu tu
Sema wewe sasa huo muonekano ni mwarabu au ni mchina au mhindi?
 
Sema wewe sasa huo muonekano ni mwarabu au ni mchina au mhindi?
sio rahisi kujua huo muonekano ni wa kihindi ,kiarabu ,kizungu au race nyingine,na wala hakuna sehemu waliyoandika kama hiyo maiti ni ya kizungu ,kiarabu nau la,sasa wewe tuambie huo muonekano ni race ipi? na umejuaje?
 
Kama ilivyo ni ngumu kujua tufanye hata hiyo sanda ni ngumu kuoneka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…