Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

IMG_20230212_095114.jpg


Hicho ni kitabu kilitungwa miaka zaidi ya 20 kinachozungumzia juu ya hiyo sanda (The shroud of Turin) isitoshe kinazungua safari ya Yesu na kaburi lake lilipo leo hii. Yesu hakupaa juu mbinguni kama jinsi watu leo wanavyoelewa KIMAKOSA.
 
Mtoa mada hajahitimisha mshaanza kuleta ujuaji ndo maana mitihani watu wanafeli kwa kutoelewa maswali.

Ngoja amalize kwanza..Maana tunaona sanda kabisa ila vijana wa paulo wanavalishana masuti meusi kama wachawi.
 
Tama
Sasa mbona inaonekana kama alitayalishwa kama wanavyofanyiwa waisilamu,yaani alizikwa uchi,alivishwa sanda tu,na hakuzikwa na jeneza,wakati wale mafarao wa kale ambao wanachuliwa kama wadhambi ndiyo wanaozikwa na nguo wakiwa ndani ya majeneza,je tunajifunza nini?
Tamaduni za kiyahudi tu. Sanda sio ya waislam peke yao.
 
Back
Top Bottom