Melelani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 542
- 536
HahahahaAcha upumbavu, am not a muslim mbwa wewe
Kimeumana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaAcha upumbavu, am not a muslim mbwa wewe
Sawa sawa kareebu mkuuNitarudi
😅😅😅Wazungu wanajua kuchota akili za watu
Katawaze wewe , hayo mavi yasije kukugandiaUnamaanisha hata kutembea na mavi poa ila tushughulike na roho tu.
Mbona unaumia kifala fala kwani yesu anakubandua?Ok kumbe ni AI ,
zezeta kweli , yani umeshindwa kuleta jokes za Mama yako mzazi na baba yako bwege
Unaleta jokes ya Yesu , ili upate likes
ila Nina uhakika wale wezi wawili walio kuwa pembeni ya Yesu Walikuwa ni M'Berzeq ( Chinese) na Mu WesternHii ni nyuzi nyingine mkuu inaitaji uzi wake ngoja tuundae,
😅🙌
Kareeebu😅😅😅Naja
Kwanini???😀😅😅ila Nina uhakika wale wezi wawili walio kuwa pembeni ya Yesu Walikuwa ni M'Berzeq ( Chinese) na Mu Western
Naam shuqraaniView attachment 2514417
Hicho ni kitabu kilitungwa miaka zaidi ya 20 kinachozungumzia juu ya hiyo sanda (The shroud of Turin) isitoshe kinazungua safari ya Yesu na kaburi lake lilipo leo hii. Yesu hakupaa juu mbinguni kama jinsi watu leo wanavyoelewa KIMAKOSA.
Vip mkuu,
Tamaduni za kiyahudi tu. Sanda sio ya waislam peke yao.Sasa mbona inaonekana kama alitayalishwa kama wanavyofanyiwa waisilamu,yaani alizikwa uchi,alivishwa sanda tu,na hakuzikwa na jeneza,wakati wale mafarao wa kale ambao wanachuliwa kama wadhambi ndiyo wanaozikwa na nguo wakiwa ndani ya majeneza,je tunajifunza nini?