..Kichwa cha habari chahusika.
..alichofanya Katunga ni utoto.
..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga.
..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote.
..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza kutoa hukumu ya kifungo miaka sifuri.